DANGOTE KUFUNGA KIWANDA CHA SARUJI MTWARA



Tanzania ni moja ya sehemu nzuri zenye rutuba na kinachovutia zaidi kuna amani ambayo ndiyo silaha ya kila mmoja kuweza kuhitaji ardhi katika nchi hii. Ardhi hiyo sio ya kuihodhi bali kwa kukodi na kuwekeza.dangote-cementUnaweza ukawataja watu ambao umewahi kuwashuhudia wakija kwa ajiri ya kukodi ardhi ama kufanya biashara kwa muda kisha wakaondoka. Wengi walio machimboni huwa wanajua tukio zima ninalo lizungumza hapa.

Aluko Dangote bilionea namba moja wa Afrika na ni raia wa Nigeria lakini ameona Tanzania ni moja ya sehemu muhimu za kuweza kuwekeza moja ya biashara zake ambapo anasifika kwa kujenga kiwanda cha saruji kilichopo Mtwara.dangoteKiwanda cha Saruji cha Dangote kimesitisha uzalishaji kutokana kuelemewa na gharama za uendeshaji hatua inayowaacha watumiaji wake njia panda. Mwezi uliopita Kiwanda hicho kilililamikia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini(TPDC) kwa kushindwa kuwauzia gesi kwa bei rahisi wakati inazalishwa mkoani Mtwara.

Pia kiwanda hicho kinapinga uamuzi wa serikali kupiga marufuku kiwanda chake kuingiza makaa ya mawe kutoka Afrika Kusini na kutakiwa kutumia ya Liganga ambayo yapo chini ya kiwango na bei ghali.

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard