AIBU!! MSANII HUDDA AYAANIKA MAKALIO YAKE MTANDAONI....!!

http://2.bp.blogspot.com/-jb6QJ4GgE9U/UkpUunsgvPI/AAAAAAAAmh4/RsYikLpqAho/s1600/2.png
Umaarufu  umeendelea  kuwatesa  wasanii wa  kike  ambao  wamekuwa  wakihangaika  KUJULIKANA kila  kukicha  kupitia  skendo  za  picha  za  uchi  na  mavazi  ya  nusu  uchi...

Huyu  ni Huddah, mke  mwenza  wa  Loveness Diva  wa  clouds fm ambao hivi  karibuni  walikuwa  katika  bifu  zito  wakigambania  penzi  la Prezzo...

Mbali  na  hilo, binti huyu pia   alikuwa  ni  mshiriki  wa Big  Brother Afrika  mwaka  huu  akiiwakilisha  nchi  yake  lakini  bahati  mbaya  ndoto  zake  ziligeuka  maji baada  ya  kuenguliwa  katika  shindano  hilo  katika  wiki  za  mwanzo  kabisa..

Kitendo  hicho  kilimfanya  apoteze  umaarufu  wake  wote  na  sasa  naona  kaamua  kujiinua  upya  kwa  kuliweka  tako  lake  mtandaoni....

Picha  aliyoiweka  mtandaoni  inamuonesha  akiwa  uchi  huku  akilisugua  kalio  lake  bila  aibu...

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard