ANGALIA PICHA MVUA YAZUA BALAA JIJINI DAR MDADA AANGUSHWA KATIKATI YA DIMBWI NA JAMAA

clip_image002   Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua
    eneo la kagera magomeni,dar es salaam                            mbebaji akiwa amemwangusha mdada huyo kwenye dimbwi                 dada akimkunja kijana baada ya kumuangusha kwenye dimbwi                   Wasamalia wema wakimsaidia dada huyo kutoka kwenye dimbwi                     Dada akilia baada ya kuokolewa kwenye dimbwi

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard