DIAMOND PLATNUMZ AKIKABIDHI GARI KWA MZEE NGURUMO ALIYE STAAFU SIKU CHACHE ZILIZOPITA CHEKI PICHA

Chege Chigunda akifuatilia kwa makiniHili ndo Gari alilo pewa zawadi Mzee Ngurumo na Diamond
Hili ndo gari alilopewa Mzee Gurumo na Diamond
Diamond Platnumz jana alifanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Number 1 kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake, marafiki, wasanii wenzake na wadau mbalimbali wa muziki nchini.Dully Sykes akiwa na Diamond wakiongea machacheDiamond akiongea na wadau walio fikaMzee Ngurumo akiongea machache na kumshukuru Diamond kwa kumpatia hiyo zawadi ya gariNay wa Mitego akiwa pamoja na Madam RittaQeen Darleen na Bi SandraRey Kigosi akifuatilia kwa makini sanaAsha Baraka,Qeen Darleen pamoja na Mama Diamond Bi SandraIMG_5505IMG_5546IMG_5568

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard