Hizi Hapa chini ni Baadhi ya Comments za Watu waliochukizwa na Kauli ya Diamond Platnumz:
- Laiti kama angekuwa ni mtt wake wa damu asingeweza kuandika utumbo kama huo, shortly nimepata ukakasi wa mzazi wa huyu dogo
- Mkuu Siku hizi nashangaa mzazi anahamasisha mwanae afanye zinaa! Anasahau na yeye ana mtoto wa kike
- Na wengine wanatafutiwa hela na baba zao wa mdinye mtoto wake wa kike
- Kweli Leo ndo nimeamini huyu mtoto sio wake, mbona kwa tiffah hakusema" kuwa mama uje udinywe vizuri watoto wasio na baba ntakulelea"
- Diamond anataka kutuaminisha kuwa yeye ndiye Star kuwahi kutokea na atakaetokea hapa nchini hakuna mwingine atakaetokea.
- Ujinga mwingine hata kama ulikimbia shule kuna vitu vingine unapaswa kutumia akili kuviwaza.
No comments:
Post a Comment