Ebhana eeeh hiki ni kioja zaidi ya kioja,mastaa hawa
kutoka majuu kila kukicha ukisikia ili
kesho watakuja na ili sio kiubaya lakini laasha ni katika
kuweka maisha yao halisia na kuonesha
kile ufanyaga wanapokuwa nyumbani kwa mashabiki zao....
Msanii Nicki Minaj mwenye asili ya visiwa vya
Trinidad & Tobago siku ya jana kupitia
mtandao wake wa Instagram aliweza kuweka
picha hizi na kuonesha sehemu
ya mwili wake tena akimanisha ni maziwa yake
kiujumla yakionekana wazi kabisa...
Mwanadada huyo mwenye mvuto wa aina yake kama
ilikuwa aitoshi aliweka picha nyingine
na kuandikia maneno "#Titythursday a day to celebrate"....Kumbe alikuwa anafanya vile kama kuonesha ishara
ya kusherekea siku ya matiti duniani so
kama mwanamke aliamua kuweka vile
kuonesha kufurahia siku hiyo......
Naona umejionea mwenyewe hapo au sio
basi usikose kupitia hapa kwenye
Blogsite hii kupata habari moto moto za ndani na nje
ya nchi kiburudani,michezo na kitaifa....

No comments:
Post a Comment