Baada ya kumalizana na miki miki ya hapa na pale jijini na Nairobi kisha kuhamia Mombasa, Niliamua kurudi Nairobi kidogo kabla ya kuondoka kurudi Nyumbani Tz..... Nairobi ni kama nyumbani kwakuwa ni na ndugu pia ata wakubwa zangu,nikisema ndugu aimanishi ni ndugu wa kuzaliwa nae tumbo moja lakini namaanisha ni urafiki wa karibu kati yangu na baina ya watu nchini Kenya ambao nawaamini na kuwathamini....!!
My Best Jaguar ndio alikuwa Mwenyeji wangu nilipowasili tena Nairobi kutokea Mombasa tulipanga tukutane tuweze kujadili mambo mawili, matatu kuhusiana na kazi zetu kiusanii baada ya hapo tupate muda wa kuchil na stori nyingine ziweze kufata zaidi,Namshukuru Mungu kwa kuniweka salama na kuzidi kuniongoza kwenye njia zake na kunibariki zaidi na zaidi,hakuna w akupaswa kumshukuru na kuabudiwa zaidi ya Mwenyezi Mungu.....! alisema diamond platnumzzzzzz |
No comments:
Post a Comment