Dar es Salaam: Mkuu wa gereza la ukonga Kamishna Msaidizi Steven Mwaisabila, amesema maisha ya mwanamuziki Nguza Vicking na mwanae, Papii Kocha gerezani
hayakuwa na vikwazo katika utendaji wa jeshi hilo.
Amesema mwanamuziki huyo maarufu kama Babu Seya alikuwa mtu wa watu na wakati fulani alishirikiana na wenzake kutoa burudani ya muziki akishirikiana na wenzake.
Nguza alikuwa mnyapara mkuu wa Bush na mwanae alikuwa kiongozi wa mpira wa miguu gereza na hawakuwa na tatizo gerezani ndiyo maana waonekane na wenyewe wanaweza kuachiliwa huru wakaungana na wenzao na kuwa raia wema.
VIDEO:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment