kumbe hizi ndio pande za Wema Sepetu, Kajala, Dully Sykes na Tid,shetta wanapoendaga kula bata enjoy picha

IMG_4335Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.IMG_4346Watuache kwa raha zetu mziki umekolea…..Mdau Emma na The Big Boss wakisakata rhumba.IMG_4347Rappa Joniko Flower akiwakimbiza mashabiki wa Skylight Band na Style ya Mukanda wa chuma IMG_4352Shabiki wa Skylight Band akionyesha manjonjo yake jukwaani…..Palinoga ni balaaa.IMG_4354Hapo sasa twende kazi…marafiki wakimshangilia rafiki yao jukwaani.IMG_4404Diva Aneth Kushaba AK47 akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band.IMG_4374Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitoa burudani huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Digna.IMG_4421Superstar Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa na mrembo wa kizungu pamoja na JEMBE wakishow love mbele ya camera yetuIMG_4412Maimatha wa Jesse akishow love na marafiki alipotinga kwenye kiota cha Thai Village kuanza week end yake na burudani za Skylight BandIMG_4425William Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na mdau Alois Ngonyani na marafiki ndani ya kiota cha Thai Village.IMG_4370Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.IMG_4427Burudani ikiendele Sam Mapenzi  a.k.a sukari ya warembo akifanya yake jukwaani.IMG_4433Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band….. palikuwa hapatoshi.IMG_4447Utamu ulipokolea wengine walipiga nduru, wengine walishika vichwa…….Hapana chezea IMG_4452IMG_4456Wema Sepetu akiwasili kiota cha Thai Village na kuwasabahi vijana wa Skylight Band kuonyesha kuwakubali kwa burudani yao.IMG_4460IMG_4466Wema Sepetu hakuja peke yake aliambatana na swahiba wake mkubwa Kajala.IMG_4471IMG_4484IMG_4498IMG_4494Wema Sepetu akifurahi jambo na mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar.IMG_4546IMG_4552Sam Mapenzi akimwimbia Wema Sepetu ndani kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar Juma lililopita.IMG_4482Wasanii wa Bongo Flava kutoka kushoto ni Shetta, TID pamoja na Dully Sykes nao walikuja kula bata na Band ya vijana, wakubwa kwa watoto yenywe Swaggaz za ukweeeh Skylight Band.IMG_4535Benny Kinyaiya, William Malecela na Wema Sepetu.

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard