Ni baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna NyangeNa producer wa nyimbo hiyo akiwa na Shedy clever wa Burn recods.Team 
tizniz ikaamua kumtafuta Producer huyo ili kujua ukweli juu ya kitu hiki
Beat hii nilitengeneza mimi kwa idea zangu mwenyewe,alivyokuja Dayna
 kaupenda ule mdundo,na mimi sikumnyima akafanya demo lakini hakulipia 
kabisa.Sasa ikapita zaidi ya miezi sita kila nikimuliza vipi anasema 
bado atakuja kufanya.Kuna siku Diamond akaja studio 
pale,akataka kusikia midumdo nikacheza midundo mbalimbali ila jamaa 
akavutiwa sana na ule mdundo ambao Dayna alifanya demoMimi nikampigia Dayna na kumuelezea kwamba diamond 
kapenda kufanya kazi katika ile beat,Dayna akakubali kabisa,sasa 
nashangaa yeye kusema diamond kamuibia wakati alikubali kabisa.Mimi sina
 cha kusema zaidi ila ukweli upo hivyo
source: lusinde music

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard