Umaarufu umeendelea kuwatesa wasanii wa kike ambao wamekuwa wakihangaika KUJULIKANA kila kukicha kupitia skendo za picha za uchi na mavazi ya nusu uchi...
Huyu ni Huddah, mke mwenza wa Loveness Diva wa clouds fm ambao hivi karibuni walikuwa katika bifu zito wakigambania penzi la Prezzo...
Mbali na hilo, binti huyu pia alikuwa ni mshiriki wa Big Brother Afrika mwaka huu akiiwakilisha nchi yake lakini bahati mbaya ndoto zake ziligeuka maji baada ya kuenguliwa katika shindano hilo katika wiki za mwanzo kabisa..
Kitendo hicho kilimfanya apoteze umaarufu wake wote na sasa naona kaamua kujiinua upya kwa kuliweka tako lake mtandaoni....
Picha aliyoiweka mtandaoni inamuonesha akiwa uchi huku akilisugua kalio lake bila aibu...
No comments:
Post a Comment