Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye
pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari
amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha
atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment