fidq >>Happy Earthday Cheupe @ecejay .. A k a Andunje au Kistuli/ one of the smartest people i know.. #Vizuri
/
Leo nimeamua kufunguka ili upate kunitambua kwa hizi tungo/ tafadhali
usinizuie kuongea..hiyo ni sawa na kujaribu kuficha jua kwa ungo/
Asante kwa kuwa mshkaji wa ukweli/ incharge haujafeli.. Uko poa? Au kama
kuna lolote unahitaji niTeli/ una namba zangu zote za Celly/ na sina
mpango wa kukumwagia maji, mimi ni rasta.. Man selektah kama Kerry/
Pheeew.. Hivi nimekusalimu au nimekurupuka tu kama Ngadu aliyetoka
baharini ? / na kuja nchi kavu.. Lakini yote ni love tu ama nini?/
Enhee.. U hali gani?/ ' unaonaje ' kama tukienda kusherehekea B,day yako
Forodhani? / najua utanijibu ' unaona kwa Macho' tu/ na hicho ndio kitu
ambacho Q humfanya aseme hauna ufagio/ nikiuliza unajisikiaje leo?
Utanijibu ' wallah kwa masikio ' / basi sawa.. / yangu ni hayo tu.. (C)
Cheusidawa
FID Q NOMA SANA, CHEKI VERSE ZA FID Q ALIZOMWANDIKIA SALAMA JABIR LEO KWENYE BIRTHDAY YAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment