Mtoto
wa miaka miwili wa Huaxi nchini China, amefanyiwa upasuaji wa
kujifungua baada ya madaktari kugundua kuwa alikuwa na mimba.Xiao Feng,
alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuwa kubwa kiasi ambacho
alijikuta akishindwa kupumua.
Alipolazwa,
madaktari walichukua picha za x-rays na MRI ba kugundua kuwa Feng
alikuwa amebaba mimba isiyokua na hivyo kuamua kumfanyia upasuaji. Waliiondoa
mimba hiyo changa iliyokuwa na upana wa cm 20 na tayari ilikuwa imeanza
kuwa vidole. Mimba hiyo ilitakuwa kuwa pacha wa mtoto huyo. Pacha huyo
wa sponji angekua na kuwa mtoto wa kiume. akiwa amebebwa na mama yake baada ya upasuaji
Mapacha
wanaofanana hutokea pale yai linapojigawa wakati wa urutubishaji na
mapacha walioungana hutokea pale yai linaposhindwa kujigawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment