MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua
yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa
care na kila kitu anachokifanya. Shilole ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku
akiandika …Asante mwanangu sijui umefikiria nn? Dah mungu nikuzie
wanangu coz ndo faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy
kaishaondoka shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi
natafuta kwa ajir yenu….… Mtoto wa Shilole
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment