Tunasikitika
kuwaarifu kuwa kutokana na sababu zisizozuilika, tutashindwa kuendelea
kuwaletea habari mpya kupitia tovuti yetu (www.mwananchi.co.tz) na
mitandao ya kijamii ya Mwananchi kwa wakati wote ambapo uzalishaji wa
gazeti la Mwananchi utakuwa umesitishwa.
Tunasikitika kwa usumbufu wowote utakaosababishwa na hali hii na tunatumaini mtaendelea kuwa nasi wakati wa kipindi
hiki kigumu cha mpito. Tunatarajia kurejea rasmi hewani na habari moto moto wiki ijayo, Ijumaa, tarehe 11 October.
Tunawakaribisha
muendelee kusoma habari zetu za zamani (archives) kwenye tovuti ya
Mwananchi na kurasa zetu za Facebook na Twitter ili mzidi kuhabarika.
Pia
tunawakaribisha mtembelee tovuti zetu za www.thecitizen.co.tz na
www.mwanaspoti.co.tz ambazo zitaendelea kufanya kazi kwa ufanisi,
zikiwaletea habari za uhakika na kuaminika kipindi hiki ambapo Mwananchi
imefungiwa.
Ahsanteni,
Wahariri.
HILI NDIO TAMKO LA GAZETI LA MWANANCHI BAADA YA KUFUNGIWA KUCHAPISHA HABARI KWA NJIA YA TOVUTI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment