Anasema yeye mwenyewe binafsi katika kazi zake za ujasiriamali mtaji
wake ameupata kwa kuhongwa na mpenzi wake akachanganya na fedha yake na
maisha yanakwenda.
Anafafanua kuwa siku zote mpenzi wako hawezi kuacha kukuhonga kwakuwa
kwenye mapenzi kusaidiana ni lazima,kwahiyo haoni ajabu yoyote mtu
kuhongwa.
"Kusema ukweli mimi mwenyewe boy friend wangu kanisaidia sana na bado
anaendelea kunisaidia,mimi sijali mtu aseme lolote analotaka lakini kama
nahongwa for benefit sina tatizo na hilo"alisema Linah.
Ameongeza kuwa tatizo watu wamekuwa wana maneno maneno sana na
kufuatilia ya watu badala ya kufanya mambo yao lakini ili mradi mambo
yake yanakwenda safi hajali lolote anatazama maisha yake zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment