Jana
Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha
kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo
Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali
mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji
....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment