MPASUO WA WOLPER WACHAFUA HALI YA HEWA ONA PICHA ZAKE

 Gauni alilokuwa kavaa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacquline Wolper limeonekana kutibua hali ya hewa kutokana na ukubwa wa mpasuo kiasi cha midume kumtolea macho ya matamanio staa huyo..hilo lilichukua nafasi nje ya hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar wakati wa utambulisho wa video ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ inayokwenda kwa jina la My number One.

 Wolper akiwa ameweka mapozi kwa ajili ya kupiga picha, aliwashtua wanaume waliokuwa wakielekea katika magari yao sehemu ya maegesho na kuanza kumtolea macho

No comments:

Post a Comment

Adbox

@templatesyard