Habari
zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na
anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku
mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana kama unajijua una
sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke
mwema...Weka e-mail ama number ya simu ntazipitia moja moja
Nacy laurent from Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment