Msanii
wa kundi la Tiptop, Madee amesema kuwa nyumba yake ambayo amejenga
mbezi kimara imemgharimu karibia milioni 125 na mpaka sasa nyumba hio
haijakamilika kama vile anavyotaka yeye.
Madee
anasema kuwa ameanza kujenga nyumba hiyo mbezi kimara miaka minne
iliyopita na Mungu akipenda amepanga kuhamia siku ya Birthday Yake
mwakani tarehe 23 April 2014.
HUU NDO MJENGO WA MADEE SOMA HAPA ILI UJUE ATAHAMIA LINI NA GHARAMA YAKE NI SHILINGI NGAP
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment