Ni baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna NyangeNa producer wa nyimbo hiyo akiwa na Shedy clever wa Burn recods.Team
tizniz ikaamua kumtafuta Producer huyo ili kujua ukweli juu ya kitu hiki Beat hii nilitengeneza mimi kwa idea zangu mwenyewe,alivyokuja Dayna kaupenda ule mdundo,na mimi sikumnyima akafanya demo lakini hakulipia kabisa.Sasa ikapita zaidi ya miezi sita kila nikimuliza vipi anasema bado atakuja kufanya.Kuna siku Diamond akaja studio pale,akataka kusikia midumdo nikacheza midundo mbalimbali ila jamaa akavutiwa sana na ule mdundo ambao Dayna alifanya demoMimi nikampigia Dayna na kumuelezea kwamba diamond kapenda kufanya kazi katika ile beat,Dayna akakubali kabisa,sasa nashangaa yeye kusema diamond kamuibia wakati alikubali kabisa.Mimi sina cha kusema zaidi ila ukweli upo hivyo
source: lusinde music
No comments:
Post a Comment