Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.Vijana wa Skylight Band kutoka kushoto ni Rappa Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar. Pia usikose Family Day Bonanza la Skylight Band Escape 2 kila siku za Jumapili kuanzia saa kumi jioni.Watuache kwa raha zetu mziki umekolea…..Mdau Emma na The Big Boss wakisakata rhumba.Rappa Joniko Flower akiwakimbiza mashabiki wa Skylight Band na Style ya Mukanda wa chuma Shabiki wa Skylight Band akionyesha manjonjo yake jukwaani…..Palinoga ni balaaa.Hapo sasa twende kazi…marafiki wakimshangilia rafiki yao jukwaani.Diva Aneth Kushaba AK47 akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band.Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitoa burudani huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Digna.Superstar Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa na mrembo wa kizungu pamoja na JEMBE wakishow love mbele ya camera yetuMaimatha wa Jesse akishow love na marafiki alipotinga kwenye kiota cha Thai Village kuanza week end yake na burudani za Skylight BandWilliam Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na mdau Alois Ngonyani na marafiki ndani ya kiota cha Thai Village.Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.Burudani ikiendele Sam Mapenzi a.k.a sukari ya warembo akifanya yake jukwaani.Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band….. palikuwa hapatoshi.Utamu ulipokolea wengine walipiga nduru, wengine walishika vichwa…….Hapana chezea Wema Sepetu akiwasili kiota cha Thai Village na kuwasabahi vijana wa Skylight Band kuonyesha kuwakubali kwa burudani yao.Wema Sepetu hakuja peke yake aliambatana na swahiba wake mkubwa Kajala.Wema Sepetu akifurahi jambo na mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar.Sam Mapenzi akimwimbia Wema Sepetu ndani kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar Juma lililopita.Wasanii wa Bongo Flava kutoka kushoto ni Shetta, TID pamoja na Dully Sykes nao walikuja kula bata na Band ya vijana, wakubwa kwa watoto yenywe Swaggaz za ukweeeh Skylight Band.Benny Kinyaiya, William Malecela na Wema Sepetu.
kumbe hizi ndio pande za Wema Sepetu, Kajala, Dully Sykes na Tid,shetta wanapoendaga kula bata enjoy picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment