Message from Flora lyimo .....Jisomee mwenye hapa chini:
FLORA LYIMO FASHION POLICE''SIYO
MWINGINE NI YULE YULE MLIE ANZA KUMTUKANA MAY MWAKA HUU'' TANGU
ALIPOSIMAMA IMARA NAKUTAKA JUSTICE OVER HER DIRT RATS RAPIST 'GODBLESS
LEMA MBUNGE WA CHADEMA ARUSHA TANZANIA''
Lets Me Tell you something my Dear Tanzanians''
NO ONE IN THIS WORLD HAVE RIGHT TO RAPE
ANYONE ANYTHING' ANYTIME ANYWHERE'' EVEN IF SHE WAS UCHI WA MNYAMA''
HATA AKIWA MPENZI WAKO, MKEO TENA WA NDOA YA UHALALI ''IKIWA
HAJAKUKUBALIA KUMLALA NA UKAMLALA KWA NGUVU ''HIYO NI RAPE''UMEMBAKA''
MY DEARS KINA MAMA/DADA'' MNATAKIWA MSIMAME IMARA NA KULIPINGA HILI JMBO
NA KAMA HUFAHAM NINI MAANA YA KUBAKWA RAPE'' BASI NIPO TIYARI
KUWAFUNDISHENI HUKO TANZANIA' KWA SABABU NAONA ASILIMIA YENU 60% OF YOU
DON'T KNOW WHAT RAPE IS'' UBAKWAJI '' SASA BASI NDIYO MANA MNAONA PIA
HIYO CHARITY YANGU NILIYOANZISHA WHICH IS ''FLORA LYIMO STOP RAPE AND
RAP CHARITY''NA NIKIENDELEA KUWAKUMBUSHENI HILI ''YANI MSIKUBALI KABISA
MNYIMWE RAHA ZENU VITU AMBAVYO UNAVIPENDA ALAFU 'UWAOGOPE NA
KUWASIKILIZA HATERS''' NA VILE VILE IKIWA UMEBAKWA AU UNAPIGWA NA
MWANAUME YEYOTE 'NIKIIMANISHA HATA MMEO WA NDOA'USIOGOPE KUMSHTAKI
''KUNA SHERIA NA KAMA SHERIA HIYO HAIPO TANZANIA BASI IPO ULIMWENGUNI NA
MIMI PAMOJA NA ULIMWENGU NATAKA KUWAHAKIKISHIENI NITAYABEBA MATUSI YOTE
'NA SITACHOKA KUFANYA YANGU NA KUHAKIKISHA ALL RAPIST PAMOJA NA
GODBLESS LEMA ''WAMENUKA SHERIA ZINAZO WAKABILI NA JUSTICE IS WHAT I
EVER NEED AND JUSTICE WILL BE DONE'' I HOPE VERY SOON '' AND NO ONE WILL
EVER GOING TO STOP ME OF TELLING THE TRUTH AND ALSO DOING WHAT I LIKE''
NA USIDANGANYIKE ETI KWASABABU UMEVAA NGUO FUPI AU UPO UCHI ,AU
UMELEWA ,AU UMESHIBA SEMBE AU UMEJIKALIA MIGUU YOTE KUSHOTO KULIA
'UNAHAKI YAKUBAKWA'' AND THAT IS WHY AFTER MATUSI YENU YOTE OVER MY SEXY
PHOTOS WHICH WENGI WENU NI WAFUASI WA CHADEMA KWA KUDAI KWAMBA
NINATUMIWA NA CCM NA KWA KAULI YAKE GODLESS LEMA aka RATS 'KUSEMA
KWAMBA MIMI NA RAIS KIKWETE NI WACHAWI'I CANT WAIT FOR MY JUSTICE JAMANI
'YANI NAONA KAMA KWELI NITASHIKWA NA HICHO KICHAA WANACHO NIAMBIA
NINACHO''UWIIII''YANI PICHA ''NIMEAMUA KUWAONGEZEA NA NITAZIDI
KUWAONGEZEA AND YOU MY DEARS'' IF YOU LIKE TO LOOK SEXY AT HOME AU HATA
BARABARANI 'HAKUNA MWENYE RUKSA YAKUKUBAKA''ILA YES UKITOKA HIVI LAZIMA
WATAKUGEUZIA MIMACHO NA WENGINE HAWATASHUGHULIKA NA WEWE'' YANI HUKU
ULAYA SUMMER TIME MBONA WAPO WENGI TENA MJI MKUU'? NA BAHARINI HATA KULE
BONGO MBONA WANAENDA ?WHY NOT ME ?' YANI ITAKUWA FLORA LYIMO AT HER OWN
HOME? YANI KWA KWELI MLINISHANGAZA NA PIA KUNIFURAHISHA SANA'' HOW CAN
YOU BEEN SO STUPID ?MBURULA WA MAMBURULA NA KUANZA KUNITUKANA MITUSI
ISHAPITWA NA WAKATI OVER MY OWN PHOTO'S? PLEASE ENDELEENI ''AND NOW COME
WITH MATUSI MAPYA PLEASE!! KUDADAMBIVUUU''YANI KAMA SIYO KUHAKIKISHA
NAENDA NA SALA ZANGU NA KUMUOMBA MUNGU ANIPE NGUVU ZA KUWASHINDA
HATERS''UNGEKUTA NISHAJIUWA KITAMBOO'''BUT I WON'T ''BADALA YAKE HATERS
ARE THE ONE WILL BE"
Source:Flora Lymo blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment