kupitia akaunt yake ya istagran @ireneweferegola8 uwoya ameandika
Ipo ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushahidi nitatoa pia.........usilo lijua ni sawa na usiku wea kiza ndo maana atawadanganya wasio na akili na wasio jua......ntapgna nae mpaka tone la mwisho damu yangu nitasema kila k2 kwann ananichukia ...nitaweka kila k2 waz then wenye akili watajua naongea nn ........hata shigongo atanichafua kias gan kwang ni matone ya mvua asubili mvua yenyewe i dont care kwa atakaae muamin but mwisho wa siku ukweli nitajuwa nimeuongea allisema hivyo irene
NEWS:Uwoya aendelea jumshutumu shigongo kwa kumchafua; aahidi kuweka hadhalani sababu za kumchukia na ushahidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment